Tuesday, October 8, 2013

Bongo sasa aishikiki tena.

Ndoto za wasanii wengi wa Tanzania nikufikisha mziki wa kibongo kwenye sura kubwa ya dunia na collabo zinaendelea na hii ni collabo nyingine tena kutoka kwa msanii anaefahamika kw jina la Rasuul Omary na wengi tunamtambua kwa jina la Chibwa, aliwai kuwa membar wa Mexicana Racavellah na sasa anafanya kazi na mpenzi wake anaetambulika kwa jina la Tanah na wanaunda kundi lao liitwalo Tanchy ambalo lishawai kuingiza wimbo wake wa "TAKE IT DOWN" katika kinyanganyilo cha wimbo bora wa Ragga/Dancehall kupitia kilimanjaro music awards 2013.

Wengi hawataamini but wajue kuwa nimeshafanya ngoma na Beenie Man kutoka Jamaica  na nimefanya Remix ya Adjibadance ambayo ndo nimemshirikisha  mkali wa Jamaica, kilichofanyika ni kumtumia ngoma zangu zote nilizo fanya na yeye akachagua Adjibadance. Nikafanya Chorus na Verse nikamtumia na akaingiza Verse yake na some backs then ikarudi kwa Mensen kwaajili ya mixng na nitamtumia tena kwaajili ya mastering.

No comments:

Post a Comment