Juma pili hii nilipokea Habari za msiba wa Baba mzazi wa 20 Percent kua amefariki na hizi ni baadhi tu ya picha nilizo zipata kutoka KIMANZICHANA nyumbani kabisa kwa msanii huyo.
Hii ndiyo nyumba aliyokua akiishi marehem mzee Kinzasa baba mzazi wa msanii maharufu Tanzania 20 Percent kwenye kijiji cha Kimanzichana wilayani Mkuranga mkoa wa pwani.
Baadhi ya waombolezaji walioudhuria mazishi ya mzee Kinzasa siku ya mazishi yake.
20 Percent akitafakali jambo.
Hapa ndiyo mwili wa mzee wetu ulipo ifadhiwa.
20 akiwa katikati ya rafikizake baada ya kumaliza mazishi na kufanya maombi na dua juu ya mzee wake aliye fariki jumapili ya tarehe 6/10 na kuzikwa juma tatu ya tarehe 7/10 wilayani Mkuranga Mkoani Pwani katika kijiji cha Kimanzichana.DAGZTZ.BLOGSPOT.COM inapenda kuwapa pole wafiwa wote na walioguswa na msiba huu, Mungu aiweke pema ROHO ya Baba yetu mahali pema peponi ,,,,Amina#











No comments:
Post a Comment