Monday, October 7, 2013

Dagz yakamata Picha za Wema na Penny.

 Picha hizi zilipigwa wakati bado msafi ajafanya usafi wake.
 Niwazi kuwa warembo hawa walikuwa ni marafiki tofauti na sasa. Penny ndie mpenzi wa sasa kwa mtumzima Diamond huku maneno mengi yakisemwa kutokana na penzi lao kati ya Diamond na Dvj Penny wa Xtreem Live kupitia Dtv kila ijumaaa.
Anakonda stail kabla ya kuchanganywa na Diamond.

No comments:

Post a Comment