Saturday, October 19, 2013

UMEPENDEZA


Habari za kazi brother...... nimekutumia tena nyimbo mbili zangu pamoja na
picha mbili.....ya kwanza kutoka ni Hustle for the money imetoka mwezi wa
8  na ya pili inaitwa UMEPENDEZA hii ndio imetoka jana na ndio naisambaza
kama hivi... nakuomba uzisikilize na km zinafaa kwa blog yako bas
ziweke...na samahani kwa usumbufu km nimekutumia bila taarifa..
kwa lolote plz naomba unitaarifu.....Asante na kazi njema
*Basic information*
Studio;Sound lab records
Producer;Dash tauch
Artist Label;Great Vision ent.
contact:0653953900  

 



No comments:

Post a Comment