Sunday, October 20, 2013

3-3 Mtaani kumekua padogo mashabiki watafutana. angalia picha za uwanjani hapa.

Hipo siku kila mtu atashabikia simba . Bango hili ndio bango lililo kamilisha maajabu makubwa yaliyowekwa na wachezaji wa Simba na kupitia Blog hii limepewa nafasi kubwa.
Kikosi cha Simba kikiwa tayali kabisa na mechi.
Mashabiki awahamini kilichotokea.
 Kikosi cha Yanga chama kubwa lenye makazi jangwani jijini dar.
 Mrisho Ngassa (kulia) akimtoka beki wa Simba, Joseph      Owino......                   
Beki wa Yanga Kelvin Yondani (5) akiwa juu kuzuia mpira pembeni ya Amisi Tambwe wa Simba. 

Picha zone by GLBAL PUB

No comments:

Post a Comment