Madee kabla ya kuachia ngoma yake mpya ya Temamate tuwachape aliachia Cover mwezi mmoja then ndo akaachia ngoma so sasa naona ndio mfumo walio uanzisha Tip Top.
Tunda man kaachia Audio Cover kwa kuashilia kuja na ngoma mpya aliyoifanya kwa Shedy Clever alinifahamisha hivyo.
Msikilize hapa alicho kisema baada ya kumuuliza.

No comments:
Post a Comment