Matonya ameachia ngoma mpya ambapo umondani anasikika akizungumzia mambo ya wanafunzi akisema wanfunzi bize facebook huku twitter kule Instagram "huo niutata" matokeo yakifika ndipo wanajuta alaumiwe nani "huo ni utata", pia anasikika akizungumzia mapenzi na maisha na kiitikio chake anasema huo ni utataa! usikilize hapa.

No comments:
Post a Comment