Dolph Lundgren.
Leo imetoka Mov mpya ya
huyu jamaa,kama utakuwa
mpenzi wa kununua mov
najuwa utakuwa umeshashtuka
kuwa muindi wa K/koo leo kadondosha
mov ya huyu jamaa kitaa.
Hii ndio
COVER ya mov hiyo
inaitwa
PENTATHLON


No comments:
Post a Comment