Wednesday, May 2, 2012

SABABU YA KUTOBOA PUA
CHID BENZ'ameeleza sababu za kutoboa pua yake kuwa ni
kuonyesha
 hisia za maumivu aliyoyapata miaka iliyopita.
 kwa muda amekua akiumizwa katka nyanja za mapenz,
maisha na mengneyo,hvyo aliona bora atoboe pua ili apate maumivu,
ambayo kwake itabakia kuwa kumbukumbu.
 Chidi ameweka wazi hilo,baada ya wapenz na mashabiki wa muziki,
kuhoji kuhusu mtindo huo mpya wa msanii huyo. 
Msanii huyo ambae ni kiongoz wa kundi la 'LA FAMILIA'

No comments:

Post a Comment