Monday, May 7, 2012

 Washiliki wa Big Brother
 2012 Tanzania.
Julio
Halda
Dau la mwaka huu  ni dola za Kimarekani  ambapo
 washiriki hao watakaa kwenye jumba la BBA kwa
 jumla ya siku 91 ili kuweza kumpata mshindi huyo
, washirirki wengine ni pamoja na

•Mchekeshaji wa television ya DKB ya Ghana (26)


Mwanamuziki  Prezzo wa Kenya (32)

•Mwimbaji Lady May wa Namibia (25)

•Mwanamuziki wa Pop Goldie wa Nigeria (28)

•Mwanamitindo Barbz wa South Africa (34)

•Mwanamuziki wa R&B diva Mampi wa Zambia (25)






•Mwanamuziki Roki wa Zimbabwe (27) 
 

No comments:

Post a Comment