Wednesday, May 30, 2012

ODAMA AZUNGUMZA
NA 
TAGZWEEKLY
 ON DTV!

Jenifa Kiaka aka Odama.


Akaona siombaya
 kutukaribisha ndani.

Tulipo ingia ndani alitufahamisha
  mengi sana kuhusu sanaa yake.


Natulipo toka nnje stor ziliendelea hivi,
 Nilianza kuigiza katika kikundi cha sanaa
 kiitwacho Kidedea na mpaka sasa
 nimefanya filam zangu 7 ambazo zipo
 sokoni kwa habari zaidiangalia kipindi
 cha  TAGZWEEKLY
juma mosi saa 3:00 usiku na
 marudio yake ni Jumapili saa 1:00,.

No comments:

Post a Comment