Mpya kutoka Twitter!
“Round 2: Me and @50Cent getting
it on over some stacks..,”
Floyd aliandika maelezo hayo kwenye
picha hiyo kwenye ukurasa wake wa
Twitter Bingwa huyo wa welterweight
aliyemshinda Miguel Cotto mwezi huu,
Inasemekana
kuwa sababu
ya ugomvi huo ni kutokana na
50 kudaiwa $10,000 na Floyd.

No comments:
Post a Comment