Wednesday, May 9, 2012

Lady Jay Dee 
na 
Yeye Track
    Jay Dee kaachia new single  kwa mwaka huu, 
 Yeye
Production imefanyika ndani ya FischCrab Studios
 chini ya Producer Lamar,
 na Jide ameimba lgha nne tofauti ndani ya hiyo single,
 kiingereza, kiswahili, kilingala na kiganda.

No comments:

Post a Comment