Wednesday, May 9, 2012

Dakika 90 Ally Kiba
 atajuwa
 naniali divert sim yake. 

Tuuma zilizo kuwa zikimuusisha 
msanii kutoka TMK Richi one ku-divert 
simu ya Ally Kiba na kudaiwa 
kuchukua pesa za showz pamoja na 
kuomba watu pesa akijifanya ni 
Ally Kiba, tuhuma ambazo alizikataa
 japo alikubali kwamba alilazwa polisi 
kwa sababu ya hizo tuhuma, Rich 
amefunguka na kusema
             kwamba kwenye dakika
 90 Ally Kiba mwenyewe atajua ukweli na atakuja kuniomba radhi kwa hayo mambo aliyoongea, sina matatizo nae kwa sababu
 hata ningekua mimi ningepanic pia 
kutokana na kwamba namba yangu ilifanya mawasiliano na Ally Kiba”

No comments:

Post a Comment