Wednesday, May 9, 2012

Kwenda India jumapili
 au
 jumatatu ijayo. 

Wastara ambae ni Mke wa Sajuki, 
amesema imefikia hatua ambayo 
ni nzuri na wanaweza kuondoka
 kwenda India japo pesa haijafikia yote
.Pesa iliyokua inatakiwa ni milioni 25
 lakini iliyopatikana ni milioni
                            16 
 lakini tayari itawawezesha kusafiri
 kwenda India jumapili au jumatatu ijayo
  kwa sababu pesa nyingine bado zinaendelea kukusanywa.Wataondoka yeye,
 Sajuki pamoja na kaka wa Sajuki 
na watakaa India kwa wiki mbili
 lakini kama kutakua na mabadiliko
 yeyote atasema.

No comments:

Post a Comment