Jackline Walper
dola
za kimarekani elfu kumi
mchango wake kwa Sajuki.
Baada ya shilingi milioni tisa kupelea
katika milioni 25 zilizohitajika kumpeleka
mwigizaji Sajuki kwenda India kutibiwa,
Mwigizaji Jackline Walper yeye mwenyewe amejitolea dola za kimarekani elfu kumi
zaidi ya
milioni 15 za kitanzania kwa
ajili ya matibabu ya Sajuki

No comments:
Post a Comment