Tuesday, April 17, 2012


ALICHO ANDIKA SUMA LEE 
KWA FACEBOOK SIKU CHACHE 
 KABLA HABARI ZA MSIBA .
Asanteni sana kwakunipigia kura mafans wangu wote nawapenda sana kama mnavyo nipenda nawashukuru sana namshukuru mungu kwakutupa uzima mpaka leo ingwa wengine atupo nao duniani ila wana mchango wao mkubwa mungu awalaze mahali pema peponi amini mimi na ww bado tupo dunia tumshukuru sana mungu nawapenda wote kura yako ndo imenifanya nichukue tunzo mbili 10xxx u 4 your support ya kutosha i lov all
R.I.P Bi Hindu

SUMA LEE kafiwa na mama yake jamani pole broda kwa kufiwa na mom,mungu ailaze roho yake ya marehem mahala pema peponi mama yetu mpendwa amini. INNA LILAHI WAINNA ILAHI RAJHUN..


R.I.P Bi Hindu

SUMA LEE kafiwa na mama yake jamani pole broda kwa kufiwa na m
...See More

 ·  ·  · about an hour ago · 

No comments:

Post a Comment