SEGEREA!!! a.k.a SEGEDANSE!! KAJALA NDANI.
Ripot kutoka Bbm,Facebook na Blog mbali mbali.
Aliyewahi kuwa Mrs. Majani, malkia wa Bongo Records na sasa Bongo
Movie actress Kajala Masanja, amechukuliwa na kufungwa
Segerea.......
kufuatia mashitaka ya ufujaji wa pesa za umma zinazomkabili yeye
pamoja na mume wake wa sasa hivi.
Kesi hiyo ambayo imekuwa ikisikilizwa kwa muda mrefu sasa inaonekana
kufikia hatua za mwisho baada ya hakimu kusemekana kutoa hukumu Jumatatu
ya tarehe 19 Machi mwaka huu.
Kajala ambaye ana watoto na P-Funk, hivi sasa yuko Segerea akisubiri
hukumu yake kusomwa baada ya siku hizi chache. Washikaji zake wametoa
tamko mbalimbali kupitia blogs, BBM na Facebook za kumuombea uzima na
uwezo wa kuepuka kifungo

No comments:
Post a Comment