Friday, March 16, 2012

  Jay Z na Beyonce, Blue Ivy Carter huyo hapo
Mashabiki wengi walitegemea kwamba picha za kwanza za mtoto wa Jay Z na Beyonce zitakapotoka zitakuwa baada
ya wazazi hao kuingia mkataba labda na jarida moja kubwa kama ambavyo wazazi wengine maarufu wamekuwa wakifanya pindi wanapobarikiwa kupata mtoto.Katika hali ambayo imewashangaza mashabiki wengi,Jay Z na Beyonce wameziachia picha zinazowaonyesha wao na mtoto bila kuzitengenezea fedha juu yake.Hizi hapa.Mtoto Blue Ivy Carter huyo hapo

No comments:

Post a Comment