Saturday, March 31, 2012


Club ya 40/40 ya Jay Z yatengeneza zaidi ya milioni 25 kwa siku.
Bossi wa Roc-Nation na Club 40/40, Baba Blue Ivy, mzee mzima Jay Z anasadikika kutengeneza mahela ya ukweli kila anapoamka.

CLUB 40/40.

Kampuni ya Forbes ya
marekani inayojihusisha na kujua uwezo wa kifedha wa matajiri duniani wamesema kwamba, ukiachana na kazi zake za kimuziki na timu yake ya Basketball, Biashara yake ya Club inamtengenezea zaidi ya dola elfu kumi na nne kwa usiku mmoja.    

No comments:

Post a Comment