Saturday, March 31, 2012

Mabeste moja kwa moja Bangoni.
Nahii ni msg aliyonitumia nikufikishie mdau.
Aje!rafiki
zangu.!ndugu na jamaa.! Nashukuru mungu sana..2 nawapenda fans wangu sana.! Nimepata bahati yakuingia mkataba nakampuni moja hapa nchini ya Bia..wow.!! Nakushukuru mungu.!!coz nipesa mingiiiii kwa mfuko nindoto yangu.. Thanks 'l'/l
so sikilizia na tunasubili kuona ni kampuni gani na ni bia gani.

No comments:

Post a Comment