Monday, December 2, 2013

Wednesday, November 27, 2013

Stamina alia na mtu alie vujisha ngoma yake ...

Stamina Ft Criss - Wamarya - Mngekuwepo - Digital - Vibes.Mp3.

Stamina akasilishwa na kampuni ya Gonga mix kwa kuvujisha ngoma yake ambayo ipo kwenye albam inayokuja.
Dagztz imezungumza na Stamina juu ya wimbo wake ulioingizwa leo kwenye mitandao ya kijamii na kampuni hiyo inayojiusisha na mitandao hiyo.
Gonga wamekosea san kutoa wimbo wangu bila ya kuongea na mimi, utaratibu uliopo ni kwamba watu wanafaham kua namsubili P-Fank arudi niweze kuachia ngoma yangu mpya niliyoifanya Bongo Record.
Ngoma ya Stamina iliyo vujishwa imefanyika Morogoro chini ya GQ,
 unaweza kuisikiliza hapa.

Friday, November 22, 2013

Diva mtangazaji wa Clouds aanika picha za utupu.

Diva ameweka picha hii katika akaunt yake ya twitter, inasemekana ni mwili wake na ninjia ya kuwadatisha wanaume, unaweza kuangalia kupitia peg yake ya twitter Diva@DivaBos.

Thursday, November 21, 2013

KILICHO MTOA MABESTE B'HITS NI HIKI HAPA HUKU HERMMY B ATENGENEZA MILIONI 30 KWA MGONGO WA MABESTE.

Hakuna kitu ambacho kimenisikitisha kama Hermmy B ..kusema ktk baadhi ya media kuwa yeye Ame invest kwangu zaidi ya million 30..Na ananilipia mimi Kodi ya Nyumba pia ananinunulia Nguo na nikitu ambacho si kweli...Nitathibitisha ukweli wote kesho kwenye Media!! Nilijaribu kuwa stiri kwenye jamii kwa kusema Tumeshindwana kibiashara...!! Kwa sababu pamoja na mistake walizo fanya mimi nawaheshimu kwa kuwa mabeste amejulikana kupitia B'HITS so hiyo ni kitu naheshim saana kutoka kwao.....lakini wao wenyewe wameshindwa kulinda heshima yao kwa kusema uwongo wa kunidharirisha mimi ktk jamii! So kesho nitasema ukweli wote ....

Vichwa vya Habari vitano 5 vinavyomuusu bondia wa ngumi Fancis Miyeyusho.

Picha by Bongo 5.

Vichwa vya Habari vitano vilivyo wai kupita na kumzungumzia Chichi Mawe, Kama ujui historia ya Francis Miyeyusho andika vichwa vya habari hivi kwenye google na uone baadhi ya gem zake na habari zake.
1. FRANCIS MIYEYUSHO AMTWANGA SADIKI MOMBA KWA POINTI. 
2. Francis Cheka na Francis Miyeyusho waalikwa Bungeni.
3. bondia francis miyeyusho akalisha mzambia kwa k,o raundi ya 8.
4. MIYEYUSHO AMUADHIBU NASSIB RAMADHAN NA KUTETEA.
5. Mbwana Matumla achezea kichapo toka kwa Francis Miyeyusho.

Kwa kutafuta vichwa vya habari hivi utakua umeweza kujua Miyeyusho ni Bondia wa ainagani.

Wednesday, November 20, 2013

New Video: Man Water kutoka Combination Sound aja na kampuni ya Video.

Prodz wa Combination Man Water akishirikiana na Sendo kutoka Eml waja na Kampuni mpya ya Video, Kichupa cha kwanza cha kampuni hiyo inayoitwa Kombinenga Videoz.
Mayunga Ft Blue - Tell me y.

Machapta Inc imeachia wimbo wa Chismo kwenye mitandao ya kijamii


Machapta Inc imeachia wimbo kwenye mitandao ya kijamii, Wimbo huo umeshafanyiwa video hivi karibuni na kampuni ya Xtreem Video, kwa mujibu wa Msimamizi wa Chismo amesema uzinduzi wa Video ya Chuchuchu utafanyika kinondoni ila sehem bado aijatajwa ila kwa sasa ameachia Audio hii kwenye mitandao na kwenye radio tofauti tofauti, Kiukweli chuchuchu inafanya vizuri sana kwenye media na tunasubili kuona video yake.

Monday, November 4, 2013

Machapta Inc yaanza kufanya video ya Chismo - Chuchuchu! angalia picha.

 Machapta Inc yaanza kushout video ya Chismo inayoitwa Chuchuchu! Audio yake imetengenezwa chini ya muandaaji wa Bongo flevar Mesen Selector.......... na hii video inafanywa na kampuni ya Xtreem Videoz Directors Geofrey na Johzey. Leo video hii inaendelea kwenye hatua ya pili mjini Posta Dar es salaam.



 Kipande cha mtu!
 Hapo sasaaaaaaaaa utaipenda hii!
 Meneja Duwe Santana na Dzaina wa video Aly Runya.

 Machapta Inc 
Vijana wa Xtreem kazini.
Directors Geofrey na Johzey
Juma,Geofrey,Aly Runya, Johzey

Thursday, October 31, 2013

Msanii aliewai kuibiwa wimbo wake na Rich Mavoco amepata kampuni ya kumsimamia.

 Chismo akisaini mkataba na msimamizi wake Duwe santana.
 Baada ya kuingia mkataba Mkurugezi wa Machapta Inc Mwinyi Machapta amkaribisha kwa nguvu za kishindo.

Msanii chipukizi anaechipukia jina lake kamili ni Adam Mustafa kwa jina la sanaa ni Chismo, alishawai kusikika na skendo ya kuibiwa wimbo wake na Rich Mavoco na kufanya vizuri “Folow me”  ameingia mkataba na kampuni ya Machapta chini ya Machapta Inc kwaajili ya usimamizi wa muziki wake kwa miaka mitatu.
Kwasasa Chismo amesha saini mkataba huo na yupo mbioni

 kukamilisha video yake ya kwanza kufanya katika kampuni hiyo jumapili hii na ameshaanza kurecord nyimbo katika studio tofauti tofauti za hapa nchini.
Kwa upande wake Chismo anafunguka na kusema nilianza 
mziki  kama dansa na nilifanya kazi ya udansa kwa Bob Junior nikatoka nikaenda kwa Dully Sykes  nandipo nikaamua kuungana na Baby J lakini ndoto yangu haiku kamilika na kunakipindi Tunda man alikua anafanya poa nikaamua kumuomba na akanikubalia kwakua alikua anaona uwezo wangu ila muda ulivyo zidi kwenda ndio nikakutana na Rich Mavoco na nikafanya nae pia kazi lakini nikiwa nae mazoezini Rich nilikua naimba nyimbo yangu ya Folow me na yeye alikua anaipenda sana na akawa ananirecod kumbe mwezangu akaingia stodio na kufanya kweli, Kote nilipo pita ilikua kama sehem yangu ya kujifunzia tu.Machapta Inc ni Lebo mpya iliyo zaliwa chini ya Machapta Production iliyopo kinondoni vijana

MWALIMU WA THT ALA SHAVU LA KUCHALAZA GITAA KWENYE WIMBO MPYA WA MSANII SNURA

 Moja kati ya walimu wakubwa wa kukuza vipaji mbalimbali kutoka tanzania house of talent (tht) Maalufu kama TEACHER amepata shavu kubwa la kuchalaza gitaa katika wimbo mpya wa msanii anaetamba na ngoma yake ya nimevurugwa mwiite snura mamaa majanga, akiongea na blog hii ya burudani manager wa msanii  snura amesema Ameamua kumuweka teacher katika wimbo mpya wa snura hili kuleta radha zaidi na tofauti katika nyimbo za msanii wake pia alisema wimbo huu ameufanya katika studio za CHAIDAZ REC chini ya producer mahiri ABBY DADDY, hili kupata radha tofauti na nyimbo za mwanzo za snura ,
 Meneja amezungumzia video mpya ya snura ya nimevurugwa ambayo itatoka hivi karibuni ambayo wananchi wakae mkao wakula na kupata kionjo kidogo cha wimbo mpya wa ushaharibu katika video hiyo ya nimevurugwa.

Snura akiweka sawa kinanda.