Stamina Ft Criss - Wamarya - Mngekuwepo - Digital - Vibes.Mp3.
Stamina akasilishwa na kampuni ya Gonga mix kwa kuvujisha ngoma yake ambayo ipo kwenye albam inayokuja.
Dagztz imezungumza na Stamina juu ya wimbo wake ulioingizwa leo kwenye mitandao ya kijamii na kampuni hiyo inayojiusisha na mitandao hiyo.
Gonga wamekosea san kutoa wimbo wangu bila ya kuongea na mimi, utaratibu uliopo ni kwamba watu wanafaham kua namsubili P-Fank arudi niweze kuachia ngoma yangu mpya niliyoifanya Bongo Record.
Ngoma ya Stamina iliyo vujishwa imefanyika Morogoro chini ya GQ,
unaweza kuisikiliza hapa.

No comments:
Post a Comment