Hakuna kitu ambacho kimenisikitisha kama Hermmy B ..kusema ktk baadhi ya media kuwa yeye Ame invest kwangu zaidi ya million 30..Na ananilipia mimi Kodi ya Nyumba pia ananinunulia Nguo na nikitu ambacho si kweli...Nitathibitisha ukweli wote kesho kwenye Media!! Nilijaribu kuwa stiri kwenye jamii kwa kusema Tumeshindwana kibiashara...!! Kwa sababu pamoja na mistake walizo fanya mimi nawaheshimu kwa kuwa mabeste amejulikana kupitia B'HITS so hiyo ni kitu naheshim saana kutoka kwao.....lakini wao wenyewe wameshindwa kulinda heshima yao kwa kusema uwongo wa kunidharirisha mimi ktk jamii! So kesho nitasema ukweli wote ....

No comments:
Post a Comment