Wednesday, October 23, 2013

Simba na Yanga Chaz Baba alizwa.

Tukio hilo lilitokea juzi Jumapili nje ya Uwanja wa Taifa, Temeke, Dar muda mfupi baada ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kumalizika.
“Walikuwa wengi, walinizunguka ghafla na kuniibia kila kitu nilichokua nacho ikiwemo Pesa na Sim zangu zote.

No comments:

Post a Comment