Tuesday, October 22, 2013

Rihanna aona cha moto, apiga picha nnje ya msikiti mkubwa katika falme za Kiarabu,

Mwimbaji Rihanna ametakiwa kuondoka katika msikiti mkubwa katika Falme za Kiarabu, baada ya kupiga picha ambazo mamlaka za huko zinasema 'hazifai'. Alikwenda katika msikiti wa Sheikh Zayed Grand, uliopo Abu Dhabi.

No comments:

Post a Comment