Saturday, October 26, 2013

Picha za wasanii wa bongo freva Aslay na Janja wakiwa steg.Juma pili watakuwa moro.

Dogo janja
Dogo Aslay
Dogo janja
Dogo Aslay
Dogo janja
Dogo Aslay 
 Patakua hapatoshi pale New Rock Garden Morogoro juma pili hii ya tarehe 27 juma pili.
Kuanzia asubuhi mpaka jioni na nimaharumu kwa watu wa morogoro, Je nani mkali Moro? 
usikose kuja kujua nani anakubalika sana Morogoro na atakaepigiwa shagwe kubwa.....
watoto elfu 2000/= wakubwa elfu 5000/= .
Dogo janja na Dogo Aslay watasindikizwa na Chismo pamoja na wasanii wa Morogoro.

Dogo janja








No comments:

Post a Comment