Thursday, October 10, 2013

Penny akimbizwa ICU baada ya picha za Wema na Diamond wakila raha masaa 4 baada ya kuagana na Diamond.


Dagztz kwa ukaribu wa Habari na marafiki wakubwa wa Habari karibu kwenye stor kubwa inayo tingisha mitandao ya hapa bongo. Stor zilizopo ni juu ya msanii wa bongo Fleva Daimond anavyo endelea kuwachanganya wasichana wa kibongo na hii ni mpya kabisa.
Picha zilikamatwa muda mfupi zikionesha maraha na starehe za kufa mtu ambapo Diamond akionekana akila bata reeeeeefuuuuuuu na mtoto Wema Sepetu muda mfupi tu na kupostiwa kwenye peg za watu wengine.


Mara Wema alipoona picha zimevuja nayeye akapost na kwamuda huo huo kidume akapost na wakasema wapo  wanafanya muvie mpya ya Wema. na inasemekana Kidume D aliku jana na mamaa Penny na akamuaga anaenda mishe nje kidogo so ndo kumbe wameenda kushut muvie
 Hii ni mara ya pili kusikia Diamond anashut mov na warembo ila azijawai kutoka na pia alishawai kushut mov na peeny na mpaka leo aijatoka na wadau wanasema stail yake kali sana ya kuwachanganya madem kwa mov danganya toto. 

Katika moja ya Muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo, Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii


-PAXP-deijE.gif
instagram.com
diamondplatnumz's photo on Instagram

Kwa habari zilizopo ni kuwa  ambae ni mtu wa karibu sana na Daimond ndie alie fanikiwa na kufanikisha kurudisha mapenzi ya watu wawili hao mtu mwenyewe ni huyu hapa,.
My PA Romy Jones Hivi ndivyo anavyoitwa na Diamond.
Hapa Romy Jones akiwa na Penny
 Hapa yupo na Shem wake mwingine Wema Sepetu

Romy na Diamond
Natumae umefaham nini kinaendelea na majibu unayo.. usiulize swali# kaa mkao wa habari zingine za moto hapa hapa Dagztz.

No comments:

Post a Comment