Friday, October 18, 2013

Kumbe Meneja wa Wema Sepetu anakula milungi.

 
Tiny Dady.
Wema Sepetu.
mwigizaji Wema Sepetu kutoka bongo movie imeanza kuonyeshwa Eatv October 16 2013 ambapo Episode hii ya kwanza imeanza kwa kumuonyesha Wema kwanza akieleza yeye ni nani, anafanya nini, ni mtu wa aina gani.  
Watu wengi sasa wanamfaham Tiny kupitia swali hili alilo ulizwa Wema siku ambayo kipindi hicho kilivyo rushwa kwa mara ya kwanza.
Swali: Uko vipi na Tinny Dad, Pettman na Martin Kadinda?
Wema: Tiny na Petti ni watu wangu wa karibu sana, nimewajua kwa muda mrefu na wananijua na ninawajua.. Kadinda kabla ya kuwa meneja wangu alikua rafiki yangu, hakua rafiki yangu wa hivyo… tulikua hatuonani hata miezi sita lakini tukikutana namwambia yote yaliyopita, mwaka juzi ndio Martin akasema ngoja niwe Meneja wako, hatukua hata na mikataba mwanzoni… tukajaribisha na tukafanikiwa mpaka leo niko nae.

No comments:

Post a Comment