Pichani ni Suka ,Blue na Messen wakiwa studio kukamilisha nyimbo mpya ya SOLO THANG iitwayo MDUDU huku Mr Blue akisimama kwenye chorus.Mdudu ni singo mpya kutoka kwenye album inayofuata ijulikanayo kwa jina S.U.M.U (Sitaki Ujinga Maradhi na Umasikini)
#by SOLO THANG#

No comments:
Post a Comment