- Abdallah Hassan · Follow · Top Commenter · Not Ur Problem at Working Not WorkingSiku zote msema kweli ni kipenzi cha Mungu na leo hivi na sema kuwa penny hana lolote cha kumfanya diamond kumuacha TOTO SHOW WEMA SEPETU.wema kaumbika sio penny bichwa kubwa utadhani kichwa cha semi.Hapi 4 u guyz en u Diamond wacha kuwa kicheche kama alivyo sema kaka yako wewe ni mshamba wa ngono
- Sophie Blass Msoma · Company Secretary at BRETT & BEILEYSuwiiiii pole my penny inauma ila ndo hivyo wema na Diamond kuachana kabisa si kazi ndogo wamekuwa kweli wanatuzuga tu ila dah inauma san ahasa upande wa penny jaman
- Adonis Nyamugali · KCCmama Wema mamaaaa!!!!!wawaache mulaleeeee!!!!hahahahh utaumia Penny njoo kwanguu....
- Rajab Mahusein · Follow · Director at Cash Money Content · 146 subscribersDUUUUUHHHHHH NOUMAAA SANAAAAA
- Kwella Godfrey · Top Commenter · -La kuvunda halina ubani pia penzi kikohozi kulificha hauwezi, hivyo itafahamika tu nani ni nani kati ya penny na wema, mapenzi yana nguvu za ajabu labda mfake ila sio kuzama, ila Penny jiamini platnumz ni wa kwako wema mpita njia tu, sawa mama usiogope scandol zake
- Hamidah Jally · Follow · Lake Secondary SchoolPennny kaaa Kando na maua yako watu wale Rahaaaaaaaaa, Many people like those guys to togez its bettr ukaachia tuu dt force love
- Dennis Omari · Follow · Dar Es Salam, Dar Es Salaam, TanzaniaPole Penny. Move On. You're still a beautiful woman. Usikubali mtu yeyote akuangushe maishani.
- Vumilia Mausi · Top Commenter · University of Dar es SalaamHii kali sana mie inanipa burudani sanaa,, pole Penny lkn ulilikoroga mwenyewe
- Cosmas de SwagsUkweli utajulikana tu pen piga moyo konde
Thursday, October 10, 2013
Maoni ya mashabiki juu ya penzi la Diamond+Penny+Wema Sepetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













No comments:
Post a Comment