Tuesday, October 22, 2013

Linex afanya Video kwenye Jangwa.angalia hapa video hiyo imeachiwa kwenye Tv na Blog tofauti

Linex achia video mpya inayoitwa Kimugina, humo ndani ya video jamaa anaonekana yupo kwenye  jagwa kubwa na mtoto mzuri wakike aliyetumika kama modo wa video hiyo.
 Linex anamuelezea mpenzi wake kua wasiachane na wakiachana atakua hana cha kujibu kwa mama Sande.
Nimeipena video hii inamuonekano wa tofauti.

No comments:

Post a Comment