Hii Video kali#
Godzilla aka King Zila amedondosha Video mpya ambayo audio yake inafanya vizuri kwenye radio steshen za afrika mashariki inayoitwa Thanks God ndani ya ngoma hii kashirikishwa Walter Chilambo na ngoma imefanywa Mj chini ya Marco chali.
Kwenye video hii Zila anaonekana akiwa GYM huku akipiga mawe kama Francis miyeyusho, Walter Chilambo afanya poa sana na anaonesha dalili za kufika mbali sana kwakua anamuonekano mkubwa sana na ofcoz anaweza.
No comments:
Post a Comment