Dogo Janja.
Vyombo mbali mbali vimeripoti juu ya kutengana kati ya ostaz juma na wasanii wake Dogo Janja pamoja na Pnc. Kupitia Dtv ilipata habari juu ya kuvunjika kwa kundi hilo la mtanashati na ndipo jitiada za kuwatafuta wausika ziligonga mwamba baada ya wote kudai wapo bize na awawezi kulizungumzia ilo mana bado muda wa kuliongelea na alipoitwa Dogo Janja kwenye maojiano na kituo hicho cha tv Janja aliingia mitini na ndipo akatafutwa Pnc kulizungumzia ili na haya ndio maneno ya Pnc embu msikilize.
PNC.
PNC.
Pnc nayeye siku iliopangwa kuwa kwenye studio za dtv kulizungumzia kiundani alikimbia na kutotoa ushirikiano kabisa na ndipo akatafutwa Ostaz Juma na kukimbia pia baada ya kusikia anauliziwa kuhusu kundi hilo.
Habari zimeendelea kuenea kwa kasi na hii ni Habari iliyotolewa na Gazeti lenye jina kubwa sana kwenye maswala ya muziki wa bongo fleva Baabkubwa Magazin.
Toleo Jipya#
Nanukuu!
Dogo janja aka Janjaro from Ngarenaro told BK ukweli wake:
"Kwangu usimamizi na Ostaz umekua F kabisa kutokana na kazi zangu za muziki nazisimamia na kuzi sambaza mwenyewe japokua skul ninajua umuimu wake ila natakiwa niwe na mtu wa kunifatilia kwa ukaribu ili apate kujua result zangu in general
;;;;What about your contract na Ustadhi Juma?
''real sijawai kuingia mkataba na Ostaz Juma na Musoma kama ningeingia mkataba na Ostaz juma kazi zangu basi nisingezisambaza mwenyewe, so na-hustle ili kufanikisha miziki wangu
''''Tunasikia Ostaz juma katoa ngoma yake iko vip,kali? na ameshaipeleka Radioni?'
''Kali wapiiiii! mbovu kabisa ameipeleka redioni na dj atakaeipiga hiyo ngoma may be anataka kucheka maana ustadhi anhema hema tu kwenye wimbo mzima.
#####################
Leo kupitia ukurasa wa Facebook Janjaro kapost maneno haya kwenye Peg yake ya Janjaro Mtanashati.
Habari natumani uko poa sasa iko ivyi haya mambo ya Dogo Janja hayupo mtanashI ni ya Uongo yaepuke kuyaamini kuna baadhi ya waandishi wanaandika hizi habari mi sipendi Nipo Mtanashati Na nipo ChiniYa Ostaz Juma over nadhani ushaelewa Asante sana mwambie na jirani for love #Mtanashati4life4

No comments:
Post a Comment