Kanye West andamwa na wakristo Duniani kwa show yake kwa kumuweka Yesu wa bandia.
Kanye West alianza show yake vizuri kabisa ila ilipofika wakati wa kuimba wimbo wake uliopo kwenye album ya College Dropout inayoitwa Jesus Walks alionekana mtu ambae alivaa mavazi na muonekano wa Yesu ambapo ameletashida katika dini hiyo
No comments:
Post a Comment