Friday, October 18, 2013

Afande sele aandika ujumbe kwa mtoto wake TundaJema(TJ)bint mfalme sele wa pili

Wkt bint yangu Tunda alipofaulu kuingia kunduch girls muslim high school pale dsm,siku tuliyompeleka kuripot shuleni kwa kuwa anakaa bweni(bording),nakumbuka nilimuasa'ewe tunda bint mfalme,bint yangu leo unaingia sekondari ukiwa na miaka kumi na moja tu,hujafika la saba umeishia darasa la sita lkn umefaulu kwenda sekondari ktk shule bora itakayo kupa elimu ya dunia na elimu ya dini yako ya unyenyekevu(muslim),sasa usia wangu mimi baba yako ni kwamba nchi yetu tz,bara letu afrika hatuhutaji''wasanii''wapya tunahitaji wanasayansi,biashara,uchumi nk wapya,hivyo soma masomo hayo kwa bidii ili wewe na taifa lako wafaid elimu yako mwanangu',Tunda akasema poa na kweli anafanya kweli,Mungu ibarik tz,mbariki TundaJema(TJ)bint mfalme sele wa pili!,,,

No comments:

Post a Comment