Wednesday, September 4, 2013

Penny ana noma kwa Diamond so warembo karibuni.

Mpenzi wa mkali katika tasnia ya Bongofleva, Penny Mwingila ‘Penny’ amekiri kuwa mpenzi wake huyo ni sukari ya warembo, hivyo hana wasiwasi naye.

No comments:

Post a Comment