Msiba wa mama yetu.. kwa wanaotaka kuja- msiba upo Mbezi mwisho baada ya stendi mpya ya mabasi basi mbele kidogo mkono wako wa kushoto utaingia!!
kisha utaona nyumba kubwa ipo kwa chini na magari mengi basi ndio hapo hapo. Kwa wanaokuja na daladala baada yakupita hiyo stendi mpya utamwambia konda akushushe kwa Prof Jay maana ndio kituo hicho.
Msikilize mdogo wake Prof jay Black Rhyno

No comments:
Post a Comment