Ile video iliyokua ikisubiliwa kwa ham kubwa sana duniani ya mtumzima Lil Wayne aka Weezy, ''god bless Amerika'', ilileta gumzo sana kipindi jamaa anashoot video na kupelekea media zote za mbele kuzungumzia kipande cha sehem ambacho anaonekana Wayne akikanyaga bendera ya Amerika.
cheki video imeshatoka na kipande hicho hakipo kwenye video.
Kumbe jamaa akumaanisha ila ni sehem iliyoonekana na kweli alikanyaga sema kumbe nyuma ya ile bendera kulikua kuna watu wa jamii yake ambao walitakiwa wauze sura kukamilisha video na video inavyoanza Weezy anaonekana nyuma yake kuna bendela ila itashuka kwa njia ya kupotea then ndo wanaonekana laia wa New Orleans ambapo ndipo alipozaliwa. Chek! behind the scene hiyo sehem yendewe anayoonekana Weezy kakanyaga bendela.
Huyu ni Rapper ambae bado anaendelea kufanya poa katika gem kwa muda mrefu, hii video inaonesha watu wa New Orleans na madhara makubwa ya kimbunga cha Katrina yaliotokea mwaka 2005 August 23 mpaka tarehe 30 mwaka 2005, halafu mtumzima Birdman ndani na Mack Maine wameuza pia.
Hii ni ngoma ambayo ipondani ya albam yake ya I AM NOT A HUMAN BEING II.
No comments:
Post a Comment