DJ Steve B (CLOUDS FM)Steven Steve B wasanii apo nyie ndo mshuhulike na mwili wa marehem ad ufke hapa cio wazaz wataabike wanaangaika mpaka nw akat nyie mpo.. pigen donei/mchango marehemu asafirishwe. MAANA AKNA WEMA THEPETU THAFI THANA KWA KAJALA MILION 13 FASTA FASTA.. AYA NA UKU BAS....
Msanii wa bongo fleva
Nyandu Toz Ni siku nyingine tena yenye majonzi kwetu wasanii na Taifa kiujumla..........B.O.B Click na Micharazo tunatoa pole katika kipindi hiki kigumu cha majonzi kwa Ndugu..Jamaa..na Marafiki wa Albert Mangwea.....Mungu ailaze pema peponi Roho ya ndugu yetu Cowboy.........Amin
Muandaaji wa kazi za Gwair
Geof MasteryKatika cku nimeumia hii ya leo ni balaa! Hakuna m2 ambae angekubal kaz zangu bila huyu ndug yang! Alkua nimsanii ambae alitokea kunikubar saana na kusapot mkono wang! Yeye ndo aliyefany niitwe Geof master kutoka 120 hadi No bifu... Yaan siamin kwa hil pigo ambalo limenikuta ndug zangu.! Mung ailaze mahar pema roho ya bro. Cpat picha juu ya huu mzk wng na yeye ndo alkua kila kwang.. Amen.
Lady Jaydee Picha ya mwisho walionitumia Mangwair na Maggie mwezi huu May, wakiwa South Africa #ANACONDA STYLEAmbapo Ngwair alimwambia Maggie "Lets do Anaconda Style"Roho inaniuma sana, sana nitamkumbuka kama moja ya wasanii niliokuwa nao kwa karibu sana kikazi na katika mitoko.
Msanii wa bongo fleva Suma Mnazaleti R.I.P NGWEA! ila katika maisha akuna ki2 kibaya kama stress, na mara nyngi stress uibuka kwa binaadam pale ambapo mipango, imani au matarajio yanapoenda tofauti kwa m2! mungu amepanga kifo kwa kila mmoja dunian, lakini kila kifo uwa na sbb! ila kabla ya sbb ya kifo cha marehem jiulize marehem ilikuwaje hadi akakutana na sbb iliyomuua! baada ya kufanya hvyo utakuwa na cha mcngi cha kuongea zidi ya kifo cha marehem na sio kukurupuka! kwanini star au m2 aingie kwnye matatizo ya ku2mia vi2 vitavyomuathiri kiafya na ku overdose? ni kukosa majukumu ya kusimamia kama mali, familia, kazi na ela ambazo kila binaadam anazitaka ili aiishi vizuri duniani! bt so kila ela uwa inamtosha binaadam! kutumika miaka mingi ktk kazi au kuwa star mwnye jina kubwa kuliko ela baadae lazima liwe tatizo! TUNAHITAJI MABADIRIKO KWENYE SANAA, MICHEZO ili ma star waliofanya vizuri kupitia humo kuweza kuyamudu maisha yao baada ya wakati wao. AU NDO MPAKA TUFE NDO THAMANI YE2 INAKUWA JUU! 1 luv
Djchoka MrApetite Me nahisi MANGWEAR amezimia tu jamani eeeh baba naomba umuamshe basi hata badae mwache apumzike kidogo...daaah
Kilimanjaro Lager
Umeondoka wakati bado tasnia ya muziki inakuhitaji. Pumzika kwa Amani Albert Mangwea “Cowwizy”.
Ndovu Special Malt
R.I.P Albert Mangweir! You will be missed by many Tanzanians.R.I.P Albert Mangweir! You will be missed


No comments:
Post a Comment