Tuesday, May 7, 2013

SNURA Sex ndani ya SOUTH AFRICA na maandalizi ya video ya MAJANGA


                                                   SNURA naABBYKAZI

 Yule mwanadada mkali anaetamba na wimbo wa  MAJANGA Anaejulikana kama SNU SEX mwiitwe SNURA leo anamalizia baadhi ya clip ya video yake ya majanga south Africa ambapo alikwenda huko kwa ajili ya kufanya filamu na kurecord videoPia unaweza kuupata wimbo wa majanga kama MUUTO KWENYE SIMU YAKO andika GB kisha tuma kwenda 15050

Kampuni ya emage array ndio inafanya video hiyo south Africa chini ya msimamizi ABBY KAZI.

No comments:

Post a Comment