Geoffrey Jilla.
Yah! Benzino alikuja kushow love kwenye club ya kijanja ila kilichotokea kimewashangaza watu wengi sana, Mimi nadhani alikua anajua alichokifata yeye mwenyewe ila kila kitu kipo poa. Pale ndo maishani na maisha yanaendelea, na uongozi wa ofisi yangu ya New maisha club inawakaribisha wiki hii kwenye show kali nyingine kama kawaida yetu atupotezi point karibu maishani watu wetu.
usikoseee!!!!!!!!!!!!!

No comments:
Post a Comment