Tuesday, May 7, 2013

EXTREEM OUT NA DUWE SANTANA aka D 120

Kama utakua ujaangalia XTREEM LIVE
 wiki iliyopita ndio time yako sasa kuangalia 
Sagment mpya ya Xtreem na D 120, ila kumbuka
 kua Xtreem live kila Ijumaa kuanzia saa 4 usiku 
mpaka 6 usiku ON DTV, kinasimamiwa na kuongozwa na 
PENNY MUNGILWA aka Penny Platnum
Penny Platnum.

No comments:

Post a Comment