Ney wa mitego na Diamond baada ya kumaliza
show kali sasa ndo zile picha picha sasa!
Papaa Masai na Dancers wake
Papaa Masai na Dancers wake backstage wakijipanga
Sikuweziii Papaa! michezo ya Ng'ari ng'ari
Ney na Fans wake
Papaa masai
Darlive ilikua noma sana wazee yani ilitapika vyakutosha
Mmasaiiiiiiiiii!
Dancers wa Papaa Masai na. Na michezo yao ya kupepea
wakiwa backstage wakijipanga na show.
Duwe Santana (D 120) ndie aliyekua MC wa show Darlive
Sikuamini bato lililo fanyika darlive mzee jamaa wametisha sana
D 120 na Fans wake
Huuu ni mziki GANI mzeeee! hapo watu wanacheza ngoma zilizokua zikipigwa na dj.
No comments:
Post a Comment