Unakaribishwa mrembo viatu vya kisasa na kwenda kwa wakati, watoto wa mjini kama mbele kua wakwanza wengine wafate kwa bei poa tu safari hii sio lazima kwenda KKOO na sehem zingine wakati unaweza tokelezea ki 2013 mwanamke mjanja, na kama upo pande za mwenge basiii ndo umeshinda, ofisi hipo mwenge stend pale pale warembo ndo wakati wenu kwa jumla na rejareja au unaweza kuwasiliana kwa 0655 75 70 80 njoo uchukue viatu vyako.




No comments:
Post a Comment