Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa wamerudi pamoja kwaajili ya kukamilisha kazi zisizo pungua tano na wimbo huu ukiwa ndo wimbo wakwanza wa Michzrazo&B.O.B,
Nyandu Toz mmoja wa membar wa B.O.B amefungua cody kwa kusema kua wapo katika maandalizi ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa makundi hayo mawili yalioanza kwa pamoja, Wabongo wasubiri tu kuona wasicho wai kukiona bongo itakapofika wakati wa kusherekea kwa kuzaliwa JONT hizi za kibaba by
Nyandu Toz.
No comments:
Post a Comment