#LikeFatherLikeSon itaendelea Kigamboni Jmosi ya mkesha wa pasaka ndani ya CLUB KAKALA kwa kiingilio cha buku 6 tu.. na pasaka tutakuwepo COCO BEACH kwenye tamasha la wazi kwa hisani kubwa ya Vodacom bila kusahau J3 ya PASAKA tutakua MJI KASORO BAHARI kwenye tamasha la wazi kwa hisani kubwa ya Airtel.. Karibuni tusherehekee pasaka kwa mistari yenye uwezo wa kumstua hadi Pundamilia...!!!!!!!!!

No comments:
Post a Comment