Friday, January 4, 2013

Safari ya Sajuki kukamilika leo.

Mchana huu ndo safari ya mwisho ya
 ndugu yetu JUMA KILOWOKO
 inakamilika na sasa safari ya kuelekea
 msikitini maeneo ya faya kkoo kwaajili 
ya maombi juu yake na baada ya hapo ni
 safari ya kuelekea mahali palipoandaliwa 
kwaajili ya kuifadhi mwili wake makabuli ya kisutu.

No comments:

Post a Comment