Tuesday, December 4, 2012

Niwakati wako on chek! Jangwani Tareh 9

Ndio walio pewa dhamana kusimamisha steg na sound yako ya Niwakati wako Tour zote zilizo fanyika ikiwemo Sinza viwanja vya TIP,Mwembe yanaga TMK,Dodoma Jamuhuri na hapa wapo katika maandalizi ya kukamilisha Niwakati wako tour katika viwanja vya Jangwani tarehe 9 mwezi huu. ofisini kwao E.Masters leo wakijiandaa.





Francis Irungu - Technical Director na mwenye t shirt nyekundu- Sound Engineer. Skit Scotch Mbugua .

No comments:

Post a Comment