MAKOMANDO WA THT SAFARI YAO.
Makomando imeanzishwa chini ya maneger maximiliani lioba
mwaka 2010 ndani ya recod lebo ya Authentic Studio
kundi hili linaudwa na membar wa nne wakiwepo
wengine wakitokea KIGOMA all star
FRED WAYNE NA MUCKY na wengine ni
B.BOY NDENGA, FLOW MAST, nandipo ilipo
zaliwa truck yakwanza Pop ya koll aliyoshirikiswa Young D.
Kutokana na uwezo mkubwa wa kutunga nyimbo zenye
isia kali na ku Dance vizuri Makomando walijizolea
umaharufu mkuwa na mashabiki wengi wa kila lika.
umaharufu mkuwa na mashabiki wengi wa kila lika.
Baada ya wimbo wakwanza kufanya vizuri Makomando
waliamua kuachia wimbo wao wapili ulio tambulika kama
MAKOMANDO.
waliamua kuachia wimbo wao wapili ulio tambulika kama
MAKOMANDO.
Inafahamika kuwa Makomando wametokea kwenye kitovu cha THT,
Makomando ndiyo wasanii wakwanza wa Bongo Fleva
walioanzisha Styel ya uchezaji inayo fahamika kama
Kibega na ndipo wakaamua kuachia wimbo wao
watatu unaofahamika sana na ulipendwa na kupendwa
mpaka sasa unaoitwa SIMAMA.
walioanzisha Styel ya uchezaji inayo fahamika kama
Kibega na ndipo wakaamua kuachia wimbo wao
watatu unaofahamika sana na ulipendwa na kupendwa
mpaka sasa unaoitwa SIMAMA.
Wimbo huu wa Simama ulitolewa chini ya uongozi wa THT
ndani ya SORRAUND STUDIO.
ndani ya SORRAUND STUDIO.
Kutokana na kazi nzuri za makomando watu wengi
waliomba kundi ili litamburishe wimbo wao mpya
ndipo uongozi wa kundi ulipo amua kuachia wimbo
mpya wa nne unaofanya vizuri kwasasa na unatambulika
kwajina la KIBEGA wamemshirikisha Dully Sykes.
waliomba kundi ili litamburishe wimbo wao mpya
ndipo uongozi wa kundi ulipo amua kuachia wimbo
mpya wa nne unaofanya vizuri kwasasa na unatambulika
kwajina la KIBEGA wamemshirikisha Dully Sykes.

No comments:
Post a Comment